Tunatumia nguvu nyingi kumtafuta mungu ambazo hata hazihitajiki

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu?

Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza?

Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran wakipambania kukariri vifungu je? Nani aliwadanganya kukariri ndo njia ya kwenda mbinguni.

Mimi naamini dhambi hutubiwa kwa malipizi kama wiki hii ulitenda dhambi basi waweza lipiza kwa kutenda mema wiki ijayo

Kazini kwako ofisini kwako kijiweni kwako na popote unaposhinda kila siku ndio sehemu za kuchuma mema na mabaya pia waweza futa mabaya yako huko huko.

Yaani Uniibie 500 yangu halafu jumapili au ijumaa ukafanye kitubio hizo si bangi.
 

Tunatumia nguvu nyingi ambazo hata hazihitajiki kumtafuta mungu...​

I think heading ilipaswa kuwa hivi..
 
Mkuu akina nani hao wanakariri biblia? Wewe kama unataka kuusema uislam nenda moja kwa moja sio kuchanganya na ukristo. Kuna mashindano ya kukariri kuruani na sio biblia kuna swala tano huko kuliko upande wa pili
 
Giza lina nguvu sana kama ujaingia kwenye giza.
Mfano mtu asiyefanya baishara,asiyekuwa na mafanikio,cheo,kipaji,uwezo na n.k hawezi kujua nguvu ya giza.

Na giza ili utaamua kumjua mungu au shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…