Bush Viper
Member
- Nov 19, 2018
- 9
- 55
Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani.
Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu kwa kuwawezesha kujiandaa kwa ufanisi zaidi. Hakikisha unashiriki kwa kutoa na kupokea taarifa zenye msaada ili kila mmoja wetu apate nafasi bora ya kufaulu. Pamoja tunaweza kufanikisha hili! Karibuni tushirikiane kwa moyo mmoja!
“Jiandae na uamini uwezo wako wewe ni mwalimu kwa sababu ya dhamira na maarifa uliyonayo.”
goodluck!!!