Tunaupenda, ila mpira wa miguu ni mchezo wa kihuni

Tunaupenda, ila mpira wa miguu ni mchezo wa kihuni

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing.

Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college.

''Yanga waliandikamkataba kwa lugha ya kiingereza namimi sikusoma''-Feisal
Salum

Yanga wananitupia majini -Mayele

Huku prince Dube akivunja mkataba zikiwazimebaki mechi 8 na yuko tayari kulipa milini 500 ,kwa nini asingesubiri ligi ikaisha akaondoka bila gharama yahizo mil 500.

Kumpa forwad mkataba wa milioni 500 wakati anagoli moja msimu mzima-ujinga

Mifano ni mingi sana kuanzia process za kuingia viwanjani,Kupigwavirungu na askari,kulipia VIP ukaambiwa kakae mzunguko.kila mtu kujifanyakocha,mchambuzi na mtabiri,
 
Ukweli mtupu soccer uhuni mwingi mala goli la mkono kama maradona alafu mpila kati mambo ayo mengi aziz ki anatupia goli kitu imegonga nguzo imeingia ndani unaambiwa sio goli..
 
Ilikuwaje lebron hakupitia college
Alikua above average,japo 98 ama 99% wanatoka college ,,kama umeangalia Movie ya Adam Sandler Hustle,yule dogo muhispania hajatokea College,japo kama ni jambo lisilo wezekana but wapo players wametoka kitaa
Screenshot_20240525-121631_1.jpg
 
Soccer ni biashara kubwa duniani, biashara ili utoboe lazma uwe mafia...
Ulaya wanatumia nguvu kubwa sana kuzuia match fixing lakin bado kuna malalamiko....
Bongo hawajafika hata robo ya uhuni wa soccer...
Kwahiyo tuendelee tu kula burudani
 
Kuhusu elimu
.soccer ina watu wenye elimu kuliko michezo mingine..kwa ulaya lakini...
Unajua kusomea ukocha ni bei gani?
Academy zile unafundishwa ving
Panel nzima ya timu ni watu wenye elimu zao
 
Kuhusu elimu
.soccer ina watu wenye elimu kuliko michezo mingine..kwa ulaya lakini...
Unajua kusomea ukocha ni bei gani?
Academy zile unafundishwa ving
Panel nzima ya timu ni watu wenye elimu zao
Ni kweli kuna wasomi lakini wahuni wasomi,bila wahuni soccer haisongi
 
Soccer ni biashara kubwa duniani, biashara ili utoboe lazma uwe mafia...
Ulaya wanatumia nguvu kubwa sana kuzuia match fixing lakin bado kuna malalamiko....
Bongo hawajafika hata robo ya uhuni wa soccer...
Kwahiyo tuendelee tu kula burudani
Pale simba Hans Poppe alikuwa mafia kwelikweli,tangu afariki Simba imepoa sana,GSM ni wahuni kama ilivyokuwa kwa Manji,huko ulaya uko sahihi soka imejaa mafia tupu
 
Football is fair .football is equality . Football is opportunities . Football is hard work . Football is determination . Football is luck 🍀 . Football is life.
 
Back
Top Bottom