Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Asante kutangaza biashara mimi ambaye sijawahi kuuza mitumba kabisa unatushauri vipi? Nipo tayari kuchangia na mwenzangu.

Asante kutangaza biashara mimi ambaye sijawahi kuuza mitumba kabisa unatushauri vipi? Nipo tayari kuchangia na mwenzangu.
Angalia eneo lako LA Biashara linafaa kuuza nini zaidi,
Nguo za watoto ni refomended pamoja na pochi,
pia mchanganyiko nao unaweza ukauza
mkachanga mkagawana balo
 
Angalia eneo lako LA Biashara linafaa kuuza nini zaidi,
Nguo za watoto ni refomended pamoja na pochi,
pia mchanganyiko nao unaweza ukauza
mkachanga mkagawana balo
Nguo za watoto zinakuwa ngapi?
Kg 45 ngapi? Na kg 100?
Si mbaya ukahainisha na balo toka china za nguo za watoto
 
Track zinakuwa complete madam juu na chini? ama ni trouser peke yake
 
Balo za viatu vya watoto pia zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…