Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wastani ni shat 200-220Mashati ya Kiume Mikono Mirefu @650,000
Mashati ya kiume Mikono Mifupi @680,000
Yanakua mashati mangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vya kiume,watu wazima.Vya kiume ama Vya kike?
Mbona hzo nguo nyingne hauja ainisha kam ni China or UK?Tunauza Balo za Mtumba Uzito tofauti tofauti,
Kuna Balo za UK Bei yake Ipo juu kidogo kutokana na Ubora na aina ya material ya Nguo zake,
Kuna Balo za China hizi bei yake Ipo chini Kidogo kulingana na ubora wa Bidhaa zake.
Zifuatazo ni Aina za Balo na Bei zake;
Nguo za watoto Kg 45 UK @580,000
Nguo za watoto Kg 100 UK @1,400,000
Gauni Mixer Kg 45 China @470,000
Shuka UK @880,000
Pollydress(Nightdresses) UK @680,000
Blauzi Chiffon China @550,000
Mashati ya Kiume Mikono Mirefu @650,000
Mashati ya kiume Mikono Mifupi @680,000
Gauni za watoto Kg 46 2-10yrs @750,000
Baibui @680,000
Suruali za Kadeti za Kiume @480,000
Track Kg 100. @1,000,000
Pochi China @350,000
Pochi UK @480,000
Mitandio Mikubwa @530,000
Wallet za Kike @ 380,000
Mzigo unatumwa Popote ulipo
pia kwa Mtu anaeanza anaweza kushare na mwingine wakagawana Balo..
Mzigo Unapatikana Kijitonyama Dar Es Salaam.
Balo ni za uhakika hazijachakachuliwa..
Mawasiliano:0755155782
Kwa Maswali,Ushauri na Nyongeza juu ya biashara ya Mtumba karibu pia.
Ndo maana watu wanaona bora wakachague karume au ilalaKuna jamaa yangu alingia kwenya hii Biashara akanunua Mashati kwa laki sita...alipoenda nyumbani kufungua akakautana na mashati yote size kama ya Steven Wasira! 😀😀 wiki hiyo alianza kutafuta kazi ya kuajiriwa kwa wahindi! Watu wana roho mbaya sana!
Wababaishaji n ukienda kununua kwa wachina ndio balaa ww kam haumuamin nenda offisin kwaoKuna jamaa yangu alingia kwenya hii Biashara akanunua Mashati kwa laki sita...alipoenda nyumbani kufungua akakautana na mashati yote size kama ya Steven Wasira! 😀😀 wiki hiyo alianza kutafuta kazi ya kuajiriwa kwa wahindi! Watu wana roho mbaya sana!
Mkuu sijasema simuamini mleta uzi ila hii mambo yapo ni muhimu kuchukua tahadhari! Ila kwa ushiriki wa mleta uzi humu JF ,nAAMINI SIO MBABAISHAJI!Wababaishaji n ukienda kununua kwa wachina ndio balaa ww kam haumuamin nenda offisin kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Me wenyewe nshapigwa iyo yan cna ham Arbab!Kuna jamaa yangu alingia kwenya hii Biashara akanunua Mashati kwa laki sita...alipoenda nyumbani kufungua akakautana na mashati yote size kama ya Steven Wasira! 😀😀 wiki hiyo alianza kutafuta kazi ya kuajiriwa kwa wahindi! Watu wana roho mbaya sana!
Asante Dear nikipata Kina Zara Ck nitakuchek