Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Kuna jamaa yangu alingia kwenya hii Biashara akanunua Mashati kwa laki sita...alipoenda nyumbani kufungua akakautana na mashati yote size kama ya Steven Wasira! 😀😀 wiki hiyo alianza kutafuta kazi ya kuajiriwa kwa wahindi! Watu wana roho mbaya sana!
Siyo kama anakupiga yeye mwenyewe muuzaji hajui kuna nini ndani..
 
mixer ya Pazia shuka na taulo @350,000 number 1 na @300,000 kww namba 2

pazia mchanganyiko @300,000
Pazia nzito @290,000
pazia za lace @ 420,000
 
Baiubui no 2. @450,000
Mitandio meusi @400,000
 
Ladies skiny jeans no 1 @420,000
Ladies skiny jeans no 2 @320,000
 
Karibuni..
kuna free Delivery kwa baadhi ya mikoa na maeneo ya Dar Es Salaam.
 
mixer ya Pazia shuka na taulo @350,000 number 1 na @300,000 kww namba 2

pazia mchanganyiko @300,000
Pazia nzito @290,000
pazia za lace @ 420,000
Mixer ya pazia, shuka na taulo.
Kwa makisio apa zinaweza kuwa ngapi ngapi mgawanyo wake.

Afu shuka ni zaina zipi? Na pazia kwenye hii mixer ni zile za lace au.
 
Kuna jamaa yangu alingia kwenya hii Biashara akanunua Mashati kwa laki sita...alipoenda nyumbani kufungua akakautana na mashati yote size kama ya Steven Wasira! 😀😀 wiki hiyo alianza kutafuta kazi ya kuajiriwa kwa wahindi! Watu wana roho mbaya sana!
Hili linauma sana
Niliwahi fanya Biashara hii Tanga,nilichukua Mzigo Dar na kupeleka Ta
Dahhhh

Unakutana ndani na vitu vya ajabu ajabu tu
Mbaya zaidi,kuna wakati hata hela ya kununulia mzigo hairudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio changamoto kubwa kwenye haya ma bero!!

Maana waweza chukua mzigo kumbe ushachakachuliwa na kisha umeekewa malonya lonya.
 
Back
Top Bottom