Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Naomba nifahamu wapi nitapata kadeti kwa bei ya jumla na bei yake ni ngapi wanapochukulia maduka ya k/koo
kuna jamaa angu anauza kadeti zile za kuvutika za elf 25 kwa sh elf 17 ila kuanzia pic 100 kariakoo, kampuni ni apple na jeep
 
zipo kariakoo, bei ni 25 ila mimi kuna jamaa ananiuziaga kwa 20, duka lake lipo kariakoo ukiwa unatoka uku kwenye sheli ya total unaenda mpaka mwisho unaliangalia soko mwishoni kushoto apa
Nitumie picha yake vizuri ya hio kadeti

Monday nikazisake hata mbili kwanza
 
zipo kariakoo, bei ni 25 ila mimi kuna jamaa ananiuziaga kwa 20, duka lake lipo kariakoo ukiwa unatoka uku kwenye sheli ya total unaenda mpaka mwisho unaliangalia soko mwishoni kushoto apa
Hilo duka ungetusaidia jina mkuu
Au namba ya simu ya jamaa mwenye duka kama ulibahatika kuchukua
 
s
Nitumie picha yake vizuri ya hio kadeti

Monday nikazisake hata mbili kwanza
mi picha zake sina we google unaweza ukazipata, ila ni nzuri unavalia kiatu chochote chini kiwe cha kudumbukiza iwe raba tena ukivaa na raba hususa air force 1 au alexender maqueen. we mwenyewe unajiskia fresh
 
Back
Top Bottom