Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Hilo duka ungetusaidia jina mkuu
Au namba ya simu ya jamaa mwenye duka kama ulibahatika kuchukua
jina kusema kweli sijui kama wameandika ila haupotei we ukitoa sheli ya total uku mwanzoni ambapo wanauza mabegi kulia unanyoosha kama unaenda sokoni mwishoni kulia wanauza madela na vijora sasa kushoto duka linaangaliana nalo
 
WAPENDWA MLIONIPIGIA LEO NAOMBA MPIGE TENA SIJUI NIMEFANYA NINI SIONI NAMBA ZENU.
 
Wale wa Korea wana nguo za kiwango cha juu sana. Hasa Mashati, suruali za vitambaa zaidi ya yote ni suti aisee suti zao zinakaa mwilini vizuri kabisa.
Mkuu kama kuna machimbo ya hizo pamba zao nijuze maana mi ni mwembamba zile nguo ndo zangu
 
s

mi picha zake sina we google unaweza ukazipata, ila ni nzuri unavalia kiatu chochote chini kiwe cha kudumbukiza iwe raba tena ukivaa na raba hususa air force 1 au alexender maqueen. we mwenyewe unajiskia fresh
Yaani picha ya kadeti uliyonayo wewe
 
Mzigo mpya unaingia Alhamisi

Tujitahidi kusoma maelekezo kabla ya kuja whatsap
 
Piaaa siyo nguo zote nafahamu idadi ya nguo zilizopo

Nauza kwa uzito.

Karibuni
 
Mkuu Baloo lashati mikono mifupi 680,000/= nalitaka ila naomba lisiwe limechakachuliwa
 
wale wateja wangu mliokuwa na maswali whatsap mnitumie tena please
simu ilikorofisha
 
Back
Top Bottom