Tunauza Balo za Mtumba Grade A Aina Zote

Mbona hzo nguo nyingne hauja ainisha kam ni China or UK?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alingia kwenya hii Biashara akanunua Mashati kwa laki sita...alipoenda nyumbani kufungua akakautana na mashati yote size kama ya Steven Wasira! πŸ˜€πŸ˜€ wiki hiyo alianza kutafuta kazi ya kuajiriwa kwa wahindi! Watu wana roho mbaya sana!
 
Ndo maana watu wanaona bora wakachague karume au ilala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wababaishaji n ukienda kununua kwa wachina ndio balaa ww kam haumuamin nenda offisin kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me wenyewe nshapigwa iyo yan cna ham Arbab!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…