jina kusema kweli sijui kama wameandika ila haupotei we ukitoa sheli ya total uku mwanzoni ambapo wanauza mabegi kulia unanyoosha kama unaenda sokoni mwishoni kulia wanauza madela na vijora sasa kushoto duka linaangaliana naloHilo duka ungetusaidia jina mkuu
Au namba ya simu ya jamaa mwenye duka kama ulibahatika kuchukua
Bei gan mkuu nijipange na vichenji vyangu nikiuza alizetiDorcas kama sijakosea kuandika
bei yake imesimama Ila hautojutia,
pia Boss ukipata yenyewe ni nzuri hazipauki
Mkuu kama kuna machimbo ya hizo pamba zao nijuze maana mi ni mwembamba zile nguo ndo zanguWale wa Korea wana nguo za kiwango cha juu sana. Hasa Mashati, suruali za vitambaa zaidi ya yote ni suti aisee suti zao zinakaa mwilini vizuri kabisa.
Yaani picha ya kadeti uliyonayo wewes
mi picha zake sina we google unaweza ukazipata, ila ni nzuri unavalia kiatu chochote chini kiwe cha kudumbukiza iwe raba tena ukivaa na raba hususa air force 1 au alexender maqueen. we mwenyewe unajiskia fresh
Unazo na unapatikana wapijumla ya Dorcas ni 28-30,000
Boss ni 19,000 -22,000
anha kesho nitaipiga nitakutumiaYaani picha ya kadeti uliyonayo wewe
Naomba namba yako ya whatsapMzigo mpya unaingia Alhamisi
Tujitahidi kusoma maelekezo kabla ya kuja whatsap