Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

Mimi nimeuliza swali kwa wewe muuzaji na wewe unanipiga maswali tena mkuu vipi?
Unauliza viwashwe kwa masaa mangapi
Fridge ni kila siku inajulikana
Hapo ungeniambia zipo za kuwasha nyumba nzima na watts zake ni hizo na ninahitaji panels ngapi au kva ngapi kama ni 5 au 10 na bei mkuu very simple na unanipa bei naangalia na mimi ipi inanifaa ila wewe nimekuuliza na wewe unaniuliza
Naomba unieleweshe tu niwe mteja wa bila karaha
Mkuu tuelewane jambo moja, system ya Solar sio makadirio ni lazima ufahamu vifaa vyako vina Power (Watts) kiasi gani na unahitaji viwashwe kwa masaa mangapi kwa siku..

Ukifahamu hiyo inakuwa rahisi fundi/muuzaji kukupigia hesabu na kufahamu System ya Solar inayofaa kulingana na power za vifaa vyako..

Ovaaaa!
 
Mzeee wangu Mimi sio mtaalam sana isipokuwa hivyo vitu nimeandikiwa na fundi wangu Kwa lengo la kupata umeme Watt 3000/5000,, kwahyo kwenye betri inabidi betri havy duty na pamoja na solar panels kwahy pigia panel yenye uwezo na betri yenye uwezo nimekuchk wasap nimeona kimya
WhatsApp ni 0756403470....

Baada ya swalah nitakuwa online kwasasa naenda masjid
 
Mimi nimeuliza swali kwa wewe muuzaji na wewe unanipiga maswali tena mkuu vipi?
Unauliza viwashwe kwa masaa mangapi
Fridge ni kila siku inajulikana
Hapo ungeniambia zipo za kuwasha nyumba nzima na watts zake ni hizo na ninahitaji panels ngapi au kva ngapi kama ni 5 au 10 na bei mkuu very simple na unanipa bei naangalia na mimi ipi inanifaa ila wewe nimekuuliza na wewe unaniuliza
Naomba unieleweshe tu niwe mteja wa bila karaha
Kwahiyo ulitakiwa tu useme mfano vifaa vyangu vyote jumla ni 2000Watts au 1000Watts ni hivyo tu mkuu.
 
Kwahiyo ulitakiwa tu useme mfano vifaa vyangu vyote jumla ni 2000Watts au 1000Watts ni hivyo tu mkuu.
Unajuwa sio wote tunajua vifaa hivi kuna wengine hata watts hawajui ni nini na nyie ndio wauzaji
Mkuu Niki Google na kuandika the whole house solar system inanipa mara moja na hii ni baada ya majibu yako ila Asante ngoja nihangaike huku kwanza
 
Mkuu tuelewane jambo moja, system ya Solar sio makadirio ni lazima ufahamu vifaa vyako vina Power (Watts) kiasi gani na unahitaji viwashwe kwa masaa mangapi kwa siku..

Ukifahamu hiyo inakuwa rahisi fundi/muuzaji kukupigia hesabu na kufahamu System ya Solar inayofaa kulingana na power za vifaa vyako..

Ovaaaa!
Duu sawa 20kwh/day
 
INVERTER 5000W,,
BATTERY 4pcs
SOLAR 16pcs
DC CABLE
L/CHARGE
Mkuuu Kwa vifaa hivyo inaweza garimu kias gn?
Mkuu mkeka wako huu..

Solar panels 325 x 8pc @400,000 - Tsh 3,200,000/=
Battery 200Ah x 8pc @580,000- Tsh 4,640,000/=
Control Charge mmpt 70A - Tsh 700,000/=
Wire panels 10mm² 20M @10,000 - Tsh 200,000/=
Inverter 5kva 1pc Tsh 2,900,000/=

Total - Tsh 11,640,000/=
 
KARIBU KWA OFFERS HIZI

1-Fully System ya 300Watts kwa Tsh 1,535,000/=

Solar Panels 300Watts - 450,000/=
Battery 200Ah- 580,000/=
Control Charge 20A- 55,000/=
Inveter 750Watts -250,000/=
Panels Wire 10Meters -40,000/=
Bulb 10pc (1W, 2W,3W) - 35,000/=
Holder 10pc - 15,000/=
Installation Wire 70Meters - 30,000/=
DC MCB - 50,000/=
Switch (Mixer) - 25,000/=
Surface Box - 5,000/=

Utawasha TV kuanzia 15" hadi 43" na Radio (Subwoofer ya Solar) na Taa 5 zitakesha

2- Fully System ya 200Watts pata kwa Tsh 1,240,000/=
3- Fully System ya 150Watts kwa Tsh 1,095,000/=

Kwa System zingine basi unaweza kuuliza katika comments na utajibiwa..NB Bidhaa zetu ni PRO SOLAR

■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□■□

Tunajihusisha na:-

■Ufungaji Umeme wa Solar
■Ufungaji wa PowerBackup
■Kufunga Wiriring za Majumbani/Viwandani
■Kufunga Solar Pump
■Kufunga CCTV Cameras
■Kufunga Electrical Fences
■Kufunga Madishi aina zote
■Kutengeneza Vifaa vya Electronics (TV aina zote, Radio n.k)

#PIA UKIHITAJI VIFAA VYA SOLAR BASI UNAWEZA KUFIKA DUKANI KWETU KARIAKOO MTAA WA MAFIA NA SIKUKUU.

Kwa Changamoto mbalimbali za Umeme wa Solar Tafadhali Kuwa Huru, Wasiliana nasi kwa kupiga Simu 0685779911 au 0675089868

Whatssap namba ni 0756403470 (Kwa ajili ya picha/Video ya Vifaa vyako tu)

USITUME SMS (HAZITOJIBIWA)

𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐒𝐎𝐋𝐄𝐈𝐂 𝐤𝐰𝐚 𝐇𝐮𝐝𝐮𝐦𝐚 𝐳𝐚 𝐔𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚𝐣𝐢 𝐔𝐦𝐞𝐦𝐞 𝐰𝐚 𝐒𝐨𝐥𝐚𝐫 𝐧𝐚 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 , 𝐩𝐢𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐖𝐢𝐫𝐢𝐧𝐠 𝐳𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐮𝐦𝐛𝐚𝐧𝐢, 𝐓𝐮𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐏𝐨𝐰𝐞𝐫𝐁𝐚𝐜𝐤𝐮𝐩, 𝐂𝐂𝐓𝐕 𝐂𝐚𝐦𝐞𝐫𝐚, 𝐓𝐮𝐧𝐚𝐟𝐮𝐧𝐠𝐚 𝐒𝐮𝐛-𝐌𝐞𝐭𝐞𝐫𝐬 𝐧𝐚𝐤𝐚𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢𝐤𝐚.

𝐓𝐮𝐩𝐨 𝐊𝐢𝐧𝐲𝐞𝐫𝐞𝐳𝐢-𝐊𝐢𝐟𝐮𝐫𝐮 𝐃𝐚𝐫 𝐞𝐬 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐚𝐦

𝐌𝐢𝐤𝐨𝐚𝐧𝐢 𝐓𝐮𝐧𝐚𝐟𝐢𝐤𝐚...View attachment 2683012View attachment 2683011View attachment 2683009View attachment 2683010View attachment 2683008View attachment 2683015View attachment 2683013View attachment 2683014
Contact zako za simu kaka zenye what's up please...
 
Solar system kubwa zaidi ya kuwasha kila kitu nyumba nzima mnazo? Na mnauzaje?.
Je hybrid solar mnaleta pia
Nataka nifunge solar itakayowasha refrigerator, a/c na TV yaani kila kitu
Itakufaa hii kwa vifaa vyako ila bajeti yake ni 22M.
Screenshot_20230926_072533_Instagram.jpg
 
■SYSTEM YA 170WATTS - BEI YA OFFER

1.Solar panels 170Watts - Tsh 250,000/=
2. Battery size 120Ah - Tsh 350,000/=
3. Control Charge 20A - Tsh 55,000/=
4.Panels wire 6mm 10Meters @4000 - Tsh 40,000/=
5.Cable Lugs 2pc 1000- Tsh 2,000/=
6. Inverter 300Watts - Tsh 120,000/=
7.Bulb 6 @ 3000 - Tsh 18,000/=
8. Switch mixture- 10,000/=

Utawasha TV hadi 32", Bulb za Solar zitakesha, Radio (sabufa za solar), kuchaji laptop na simu.

TOTAL TSH 945,000/=
20230912_122825.jpg
 
TOTAL TSH 945,000/=View attachment 2767391
■SYSTEM YA 120WATTS - BEI YA OFFER

1.Solar panels 120Watts - Tsh 180,000/=
2. Battery size 75Ah - Tsh 250,000/=
3. Control Charge 10A - Tsh 45,000/=
4.Panels wire 6mm 10Meters @4000 - Tsh 40,000/=
5.Cable Lugs 2pc 1000- Tsh 2,000/=
6. Inverter 300Watts - Tsh 120,000/=
7.Bulb 6 @ 3000 - Tsh 18,000/=
8. Switch mixture- 10,000/=

Utawasha TV hadi 32", Bulb za Solar zitakesha, Radio (sabufa za solar), kuchaji laptop na simu.

TOTAL TSH 665,000/=
20230920_114718.jpg
 
Hii uliyosema kwamba kama home Kuna umeme umetaja battery na inverter tu. Vipi solar panel haihitajiki?
Kama Fridge yako ina 240Watts na unahitaji mfano uwashe kwa siku masaa 6 basi System hii itakufaa..

Solar panels 300Watts (Mono) - 450,000/=
Battery 200Ah- 580,000/=
Control Charge 20A - 55,000/=
Panels wire 6mm 10M - 40,000/=
Inverter 12V 800Watts- 300,000/=

Jumla ni Tsh 1,425,000/=

Ikiwa kwako una Umeme na unahitaji utumie Backup basi utatakiwa kuwa:-

Battery 200Ah - 580,000
Inverter 12V 800Watts- 300,000

Jumla ni Tsh 61,0000/=

(Picha ya Inverter ni kama hii unayoina kwenye picha )View attachment 2767276
 
Asante sana ila nyumba sio kubwa hivyo ya kuwekeza 22m
Nijulishe mpaka za 5m tu kama zipo maana naona umeweka mpaka 1m kwa kuwasha hivyo
Sawa mkuu, hapo tuitoe Air Condion , hapo tuweke taa, Radio, TV,feni na fridge

Solar panels 470W x 2, battery 200Ahx 4, Control Charge mmpt, Inverter 24V 2000Watts, Waya wa Panels, Cable Lugs 5pc, Surge Arrestor 1pc

Jumla inakuwa ni Tsh 4,450,000/=
 
Hapo sawa umenipa mwanga
 
Back
Top Bottom