Tunauza Bidhaa za Solar na Tunafunga Solar System

Mkuu tuelewane jambo moja, system ya Solar sio makadirio ni lazima ufahamu vifaa vyako vina Power (Watts) kiasi gani na unahitaji viwashwe kwa masaa mangapi kwa siku..

Ukifahamu hiyo inakuwa rahisi fundi/muuzaji kukupigia hesabu na kufahamu System ya Solar inayofaa kulingana na power za vifaa vyako..

Ovaaaa!
 
WhatsApp ni 0756403470....

Baada ya swalah nitakuwa online kwasasa naenda masjid
 
Kwahiyo ulitakiwa tu useme mfano vifaa vyangu vyote jumla ni 2000Watts au 1000Watts ni hivyo tu mkuu.
 
Kwahiyo ulitakiwa tu useme mfano vifaa vyangu vyote jumla ni 2000Watts au 1000Watts ni hivyo tu mkuu.
Unajuwa sio wote tunajua vifaa hivi kuna wengine hata watts hawajui ni nini na nyie ndio wauzaji
Mkuu Niki Google na kuandika the whole house solar system inanipa mara moja na hii ni baada ya majibu yako ila Asante ngoja nihangaike huku kwanza
 
Duu sawa 20kwh/day
 
INVERTER 5000W,,
BATTERY 4pcs
SOLAR 16pcs
DC CABLE
L/CHARGE
Mkuuu Kwa vifaa hivyo inaweza garimu kias gn?
Mkuu mkeka wako huu..

Solar panels 325 x 8pc @400,000 - Tsh 3,200,000/=
Battery 200Ah x 8pc @580,000- Tsh 4,640,000/=
Control Charge mmpt 70A - Tsh 700,000/=
Wire panels 10mm² 20M @10,000 - Tsh 200,000/=
Inverter 5kva 1pc Tsh 2,900,000/=

Total - Tsh 11,640,000/=
 
Contact zako za simu kaka zenye what's up please...
 
■SYSTEM YA 170WATTS - BEI YA OFFER

1.Solar panels 170Watts - Tsh 250,000/=
2. Battery size 120Ah - Tsh 350,000/=
3. Control Charge 20A - Tsh 55,000/=
4.Panels wire 6mm 10Meters @4000 - Tsh 40,000/=
5.Cable Lugs 2pc 1000- Tsh 2,000/=
6. Inverter 300Watts - Tsh 120,000/=
7.Bulb 6 @ 3000 - Tsh 18,000/=
8. Switch mixture- 10,000/=

Utawasha TV hadi 32", Bulb za Solar zitakesha, Radio (sabufa za solar), kuchaji laptop na simu.

TOTAL TSH 945,000/=
 
■SYSTEM YA 120WATTS - BEI YA OFFER

1.Solar panels 120Watts - Tsh 180,000/=
2. Battery size 75Ah - Tsh 250,000/=
3. Control Charge 10A - Tsh 45,000/=
4.Panels wire 6mm 10Meters @4000 - Tsh 40,000/=
5.Cable Lugs 2pc 1000- Tsh 2,000/=
6. Inverter 300Watts - Tsh 120,000/=
7.Bulb 6 @ 3000 - Tsh 18,000/=
8. Switch mixture- 10,000/=

Utawasha TV hadi 32", Bulb za Solar zitakesha, Radio (sabufa za solar), kuchaji laptop na simu.

TOTAL TSH 665,000/=
 
Hii uliyosema kwamba kama home Kuna umeme umetaja battery na inverter tu. Vipi solar panel haihitajiki?
 
Asante sana ila nyumba sio kubwa hivyo ya kuwekeza 22m
Nijulishe mpaka za 5m tu kama zipo maana naona umeweka mpaka 1m kwa kuwasha hivyo
Sawa mkuu, hapo tuitoe Air Condion , hapo tuweke taa, Radio, TV,feni na fridge

Solar panels 470W x 2, battery 200Ahx 4, Control Charge mmpt, Inverter 24V 2000Watts, Waya wa Panels, Cable Lugs 5pc, Surge Arrestor 1pc

Jumla inakuwa ni Tsh 4,450,000/=
 
Sawa mkuu, hapo tuitoe Air Condion , hapo tuweke taa, Radio, TV,feni na fridge

Solar panels 470W x 2, battery 200Ahx 4, Control Charge mmpt, Inverter 24V 2000Watts, Waya wa Panels, Cable Lugs 5pc, Surge Arrestor 1pc

Jumla inakuwa ni Tsh 4,450,000/=
Hapo sawa umenipa mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…