Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Uko kama mm, kisimbuzi kinakila vumbi tu kwenye droo, nakimbiza na azam, sikiuzi coz najua mbeleni wanaweza wabadilika kuendana na uhalisia wa mmbongo.Mara ya mwisho kulipia DSTV ilikuwa wakati wa Kombe la Dunia 2018 nadhani..
Yaani hamna hata cha maana naishia kuangalia chanel 132 CBS reality kipindi cha Cheaters na Judge Judy channel zingine hamna, yaani elfu 19,900 wanaiona ndogo fyuu๐๐Hiyo elf 21 upate bas channel za maana [emoji35] yaan sijakilipia tangia mwez wa 6 na sina mpango najipanga njnnue azam!
King'amuzi cha Dstv explorer bei gani?
Wamekaa kihuni huni tu,wanapandisha bei ya vifurushi kutokana na dola
Kuna wakati ilifikia kuangalia league ya EPL bila kifurushi cha 240,000 huoni kitu
Hata TBC nayo kifurushi kikiisha wanakata
Mkuu dstv ata mm nilikuwa natumia na nina kisimbuzi na dish lake bt kwa sasa dilishi la dstv nimeunganisha na kisimbuzi cha azam dstv nimewahama kwa reasons zifuatazo...
Sawa,kwahiyo mimi huku kijijini hiyo hainihusu,poa tu endeleeni kupendeleana,ila mjue mtakuja tu huku na nyinyi siku moja...
Hahaha cheaters kinachekesha sana. Watu humo wapuuzi mno. ๐๐Yaani hamna hata cha maana naishia kuangalia chanel 132 CBS reality kipindi cha Cheaters na Judge Judy channel zingine hamna, yaani elfu 19,900 wanaiona ndogo fyuu๐๐
decoder pekee mnauza bei gani? yangu inaishia kuwaka njano haiendelei mbele.
Kwa kweli hapo kwenye signal wamewaonea sana dstv. Ukifungiwa vizuri hata kitokee kimbunga kidogo bado channel unaona vizuri.Naomba nianze kujibu issue ya 3 badala ya #1 kwakuwa nimejikuta kama kuna kitu kinanikaba kooni pindi nnapoendelea kusoma #3 then nianze jibu #1...
Azam akuanza kuonywsha EPL usitegemee bei ya vifurushi ibaki vilevile, itapanda tu.Na Azam akipata tu nafasi ya kuonyesha EPL basi DSTV watapumulia mashine zaidi..
King'amuzi changu baadhi ya stesheni kinaonyesha error ya E48-32, Kuna fundi aliniambia eti tunner itakuwa imekufa, wewe utanisaidiaje?Kwa kweli hapo kwenye signal wamewaonea sana dstv. Ukifungiwa vizuri hata kitokee kimbunga kidogo bado channel unaona vizuri.
Na vikatuni[emoji38][emoji38]Hiyo elfu 20 yako utaishia kuangalia Huba
Huwa wananifurahisha, kumbe wazungu nao wanacheatiana tu kama sisi๐๐Hahaha cheaters kinachekesha sana. Watu humo wapuuzi mno. ๐๐
King'amuzi changu baadhi ya stesheni kinaonyesha error ya E48-32, Kuna fundi aliniambia eti tunner itakuwa imekufa, wewe utanisaidiaje?
Kwa kweli hapo kwenye signal wamewaonea sana dstv. Ukifungiwa vizuri hata kitokee kimbunga kidogo bado channel unaona vizuri.