Tatizo DSTv wanadhani wateja wao wote wanapenda mipira, mimi naipenda Dstv kuliko Azam tatizo ni mpangilio wa vifurushi vyao vinekaa hovyo hadi ulipie cha bei juu ndo una enjoy.
Mfano ili uangalie Discovery channel mpaka ulipime Premium yaani laki na ushee wakati kwa 28000 naiona Kwa Azam, Azam ana BBC, Fox, AJ , NHK ya Japan, National Geo, NA pia CNN inaanza Septemba. CHANNEL hizi nazipenda ila kwa Dstv naziona kwa gharama kubwa.
Kupanga ni kuchagua, hata local channel Dstv anazo chache wakati Azam kajaza zote, labda wateja wake wengi wazungu.
Dstv tafuteni Package nzuri zenye Documentary za kutosha sio michezo tu ili turudi, nina vingamuzi vitatu vya dstv na vyote nineweka pembeni nakula Azam now