INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

INAUZWA Tunauza, kufunga na kufanya marekebisho ya visimbuzi aina zote, pamoja na CCTV Camera na Uzio wa Umeme

Kwa Tsh 77,000 tu!!

Unapata: Dish, Decoder HD, Cable, ( vifaa vyote ), kifurushi Cha family cha Tsh 29,900 na unapata fundi wa kukufungia bila kulipa gharama ya ziada!!
Ili kupata offer hii piga 0789476655 WhatsApp +255784378129
Offer hii ni kwa Dar pekee!!

Mengineyo yote kuhusu DStv Kama:-
•Kulipia
•Vifurushi
•Mafundi
•Kununua

View attachment 1906653

Kwa wake wapenzi wa Mpira....!!

IMG-20210827-WA0005.jpg
 
Utakuta Hotel nzuri lakini tv zake hazionyeshi channels vizuri ( chenga ) ama inaonyesha channel moja tu! Tunafanya repair na kufunga mfumo wa channels kwenye:- Hotel, Apartment, Sports bar na maofisini kwa idadi cha channels/visimbuzi utakavyo na kwenye tv zote zinakuwa clear kwa gharama nafuu kabisa!
Tunakusikiliza, tunakushauri na kisha tunakuhudumia kwa kiasi ulichonacho isipokuwa ubora ndicho tunachozingatia!!

Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 10!
Tunafika mikoa yote Tanzania!
WhatsApp +255658046655
Call +255784378129

Picsart_22-09-15_14-25-11-050.jpg
View attachment 2493009
Picsart_22-10-23_21-39-22-818.jpg
 
Hapa nalenga Visimbuzi vyote mf: Azamtv, DStv, Startimes n vyenginevyo.. ukizingatia karibu visimbuzi vyote vinatumia Adapter ingawaje vipo visimbuzi toleo la zamani ambavyo bado havitumii adapter.

Hapa nazungumzia vile vinavyotumia adapter, ikitokea kimezima ghafla sababu ikiwa pengine UMEME, ile kuzima na kuwaka muda huo huo ama imetokea tu unawasha hakiwaki, cha kwanza badili adapter, kabla hujanunua adapter mpya tafuta namna ya kupata adapter kwa ajili ya kujaribu tu kama je kitawaka!!?? Kikiwaka shida itakuwa ni adapter. Ikitokea hakijawaka kutakuwa na shida nyengine.

Cha kufanya peleka kwenye office husika za kisimbuzi unachotumia ama wakala wao, usipeleke kwa fundi wa mtaani ikitokea amekifungua na akashindwa kutengeneza, utapata ugumu kupata msaada kama utaamua kupeleka kwenye office za kampuni ya kisimbuzi unachotumia.

ZINGATIA: Usikifungue wala kupeleka kwa fundi wa mtaani.

Mafundi madish n ushauri Call/WhatsApp +255768403888
 
Tunafunga na kufanya marekebisho ya:-
  • Dish za visimbuzi vyote (FTA n Paytv)
  • Mifumo ya Tv Channels kwenye (Hotel, Apartment, Sportsbar, Office n.k)
  • Tunafunga CCTV cameras
  • Tunafunga Electric Fence
Tunauza Visimbuzi kama DStv, Azamtv pia tunauza vifaa vyote vya visimbuzi kama Dish, LNB, Cable n.k
MAWASILIANO:
Tupo Mwenge, Dar es salaam
Piga/WhatsApp +255673378129
PSX_20230303_121511.jpg
 
Tunauza vifaa vyote vya visimbuzi kama:-
1.Cable aina zote mf: HDMI, Coaxial, AV, Optical n.k
2. RF Modulator
3. Signal Amplifier
4. Spritters aina zote mf: HDMI spritter, RF spritter n.k
5. Receiver za HD
6. Connectors aina zote mf: F connector, Female n Male, HDMI Joints, Coaxial Joint n.k
7. LNB aina zote
8. Dish
9. Adapters
10. Remote zote za tv na visimbuzi
#MustaphaMaDishInstallers hakuna kifaa cha kisimbuzi ambacho utakosa!
Piga/WhatsApp +255673378129
Tupo Mwenge, D'salaam
Pia Mafundi wazoefu wanapatikana!
20230317_173707.jpg
20230317_164221.jpg
20230317_175046.jpg
20230317_170031.jpg
20230317_170723.jpg
20230321_171328.jpg
20230317_180521.jpg
 
Back
Top Bottom