Over the hedge
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 143
- 162
We kweli bado mtoto yaani unavyosema huo ni uchafu utadhani unamiliki hata gari au baiskeli kumbe wewe ni mfunga ving'amuzi vya dstv 🤣🤣🤣🤣Yan mtu mzima na heshima zako unanunua huo uchaf wenye kutu kwa 180k unafunga kwenye gar lako? Shame upon u!
Tumeona picha zako dogo 😂😂😂😂