Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Vuta picha dalali wa Instagram anauza mil 5.5 je mmiliki halali atakuwa anauza sh ngapi?mkuu wabongo ni watu wa ajabu sana. unawezakuta mwenyewe anataka milioni 5 tu au hata 4.5M, Sasa kianzio cha hapo gari inaanza kupanda 5 inaenda 6 kwa dalali wa pili...inaenda 7 kwa dalali wa tatu na kuendelea. Kuna umuhimu wa madalali kushughulikiwa na kuwa registered na walipe kodi ilikuleta unafuu kwa wateja wao.
True mkuuVuta picha dalali wa Instagram anauza mil 5.5 je mmiliki halali atakuwa anauza sh ngapi?
Serikali inatakiwa iwaangalie hawa watu kwa jicho la pili aisee wanapoteza mapato mengi mno
Akirudi nitag [emoji23][emoji23]Acha wizi wewe hiyo gari nimeikuta Instagram inauzwa mil 5.5 lakini wewe unauza mil 7
Hivi watanzania kwanini tunapenda ujanja hivi,ata Kama maisha ni kutegemeana sio kwa style hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1697962
Na hapo 5.5 ..bado ukitaka unamshusha hata 4m unaweza chukua ...hapa mjini bila umakini utaibiwaAcha wizi wewe hiyo gari nimeikuta Instagram inauzwa mil 5.5 lakini wewe unauza mil 7
Hivi watanzania kwanini tunapenda ujanja hivi,ata Kama maisha ni kutegemeana sio kwa style hii[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1697962
Shida watu wanaingia kichwa kichwa hawataki kuuliza matokeo yake mtu anaibiwa.Na hapo 5.5 ..bado ukitaka unamshusha hata 4m unaweza chukua ...hapa mjini bila umakini utaibiwa
Hahah ujanja uko damuni mzee.Acha wizi wewe hiyo gari nimeikuta Instagram inauzwa mil 5.5 lakini wewe unauza mil 7
Hivi watanzania kwanini tunapenda ujanja hivi,ata Kama maisha ni kutegemeana sio kwa style hiiπππππView attachment 1697962
ππ Madalali hawana huruma, uncle katoka bush usukumani wamemuuzia brevis mil 15 ππππππHahah ujanja uko damuni mzee.
Hahah daah uncle ameingizwa cha kike aiseee.[emoji38][emoji38] Madalali hawana huruma, uncle katoka bush usukumani wamemuuzia brevis mil 15 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ππ Madalali hawana huruma, uncle katoka bush usukumani wamemuuzia brevis mil 15Hahah ujanja uko damuni mzee.
Dah Brevis mil 3.7 na mazungumzo yapoHahah daah uncle ameingizwa cha kike aiseee.
Ila haya majizi yapo kila sehemu mzee.View attachment 1699699View attachment 1699700
ππππ angalia uncle asije dondoka kwa pressure mkuu.ππ Madalali hawana huruma, uncle katoka bush usukumani wamemuuzia brevis mil 15
Dah Brevis mil 3.7 na mazungumzo yapo
Ngoja ni screenshot nimtumie uncle aone,mil 15 angezipata Brevis 4
Hawa jamaa serikali inabidi iwaangalie kwa jicho la pili walipe Kodi,yaani wanapata pesa nyingi kuliko mfanyakazi anayekatwa Kodi.ππππ angalia uncle asije dondoka kwa pressure mkuu.
Si unaona hayo majizi hapo,mmoja anauza 3.7m mwingine anauza gari hio hio 5mil.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alijifanya mjanja ..ili aje kukuringishiaShida watu wanaingia kichwa kichwa hawataki kuuliza matokeo yake mtu anaibiwa.
Kuna uncle wangu katoka usukumani badala kuuliza katoka kimya kimya kwenda kununua gar,matokeo yake brevis kauziwa mil 15 mamaee.
Karudi home mikwara mingi ikabidi nimchane, nikamwambia iyo mil 15 apo unapata brevis 3 na chenji inarudi