Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Vuta picha dalali wa Instagram anauza mil 5.5 je mmiliki halali atakuwa anauza sh ngapi?mkuu wabongo ni watu wa ajabu sana. unawezakuta mwenyewe anataka milioni 5 tu au hata 4.5M, Sasa kianzio cha hapo gari inaanza kupanda 5 inaenda 6 kwa dalali wa pili...inaenda 7 kwa dalali wa tatu na kuendelea. Kuna umuhimu wa madalali kushughulikiwa na kuwa registered na walipe kodi ilikuleta unafuu kwa wateja wao.
Serikali inatakiwa iwaangalie hawa watu kwa jicho la pili aisee wanapoteza mapato mengi mno