Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kabanga au lulengeMtaniwekea na mafuta yakunifikisha Ngara?
Hii gari imenyooka mpaka inakera! Bei umeweka ya kawaida sana ukilinganisha na muonekano wake. Ni suala tu la muda. Lazima itoke.Nacho penda jf nisehemu yakukatisha tamaa kwakila biashara utakayo weka lakini mwisho wasiku unauza tu kwakuwa huku jamii forum ni kuwanatu wapo kwajili yakuponda na kuzalilisha biashara zinazowekwa
Mimi kwa tafiti isiyo rasmi nimegundua kwa sasa jamii forum ina vijana wengi sana ila baadhi ya hao ni wale ambao hua hawana muda wa kufikirisha akili zao bali kuchukulia kila jambo ni mzaha.Asant mkuu nimejiunga muda jf nilicho jifunza kupo tofauti namitandao mingine huku nikejeli zarau mizaha masihara zarau nyingi Hii ndio jf fikra pana
Kama unavyo virikuu, weka tuoneSijakulewa
Sina Mkuu mm jikipost gari jua nigari yangu mkuu
dah mawazo ya kimasikin aya!Tutafute pesa mkuu mbona iyo nipesa ya mbogatuBei kubwa sana.
Pili TRA watahoji nlipozipata hizo fedha.
Tatu,hiyo hela bora kwekeza kwenye Duka la Spea na kupata fedha zaidi.
Nne,Hiyo ni anasa kwenye nchi ambayo watu wanaishi kwenye nyumba za tembe kutembelea mil 139.
Tano,Bora ukatoe sadaka kanisani hiyo hela ieneze injili
sawa kiongozidah mawazo ya sakini aya!Tutafute pesa mkuu mbona iyo nipesa ya mbogatu