Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Nawashukuru wakosoaji wote nawenye mbwembwe nyingi nimeuza tayari
Hiyo gari ilikuwa ni lazima uiuze mapema. Maana bei yake ilikuwa ni rafiki, na pia mwonekano wake kwa nje bado ni mzuri.

Ukipata gari nyingine uza kwa bei za aina hii hii mkurugenzi. Kwa kweli sisi wanyonge tunakutegemea sana. Hao wapiga domo, fanya kuwapotezea tu. Usikute ni washindani wako kibiashara. Hivyo wanaingiwa na wivu.
 
Back
Top Bottom