zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
- Thread starter
- #441
Haaaa haaaa HAAAA SORRY MKUUSasa mbona ume reply kwangu mimi nilicheka kwasababu hiyo reply imenichekesha kilichofanya uniambie imeuzwa wakati sijakuuliza. Umejihisi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaaa HAAAA SORRY MKUUSasa mbona ume reply kwangu mimi nilicheka kwasababu hiyo reply imenichekesha kilichofanya uniambie imeuzwa wakati sijakuuliza. Umejihisi tu
Huo muonekano umepigwa rangi ya vyuma imengaa ili kuwakamatisha washambaHiyo gari ilikuwa ni lazima uiuze mapema. Maana bei yake ilikuwa ni rafiki, na pia mwonekano wake kwa nje bado ni mzuri.
Ukipata gari nyingine uza kwa bei za aina hii hii mkurugenzi. Kwa kweli sisi wanyonge tunakutegemea sana. Hao wapiga domo, fanya kuwapotezea tu. Usikute ni washindani wako kibiashara. Hivyo wanaingiwa na wivu.
Apo akuna Cha washamba Wala wabustan gari imeuzwa hiyo mada ilushaga fungwa tafuta mada nyingine jf mada ninying unaweza kwenda kuchangia ata ktk mada za mfumuko wabei nafikili hitakuwa na tijaHuo muonekano umepigwa rangi ya vyuma imengaa ili kuwakamatisha washamba
Ipo sawa mkuuIna shida gani kwenye Injini?
Kivip mkuuInjini inanini hiyo mkuu
Imetumika mda gan tangu uinunue? Uliagiza nje au ulinunua kwa mtu?Ipo sawa mkuu
Nimenunua kwamtu mkuuImetumika mda gan tangu uinunue? Uliagiza nje au ulinunua kwa mtu?