Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

Hizi gari zimekuwa nyingi sana kwa sasa..
 
Mleta uzi,

Hii showroom yenu iko wapi.?!
I mean sinza ipi.?!
 
Tatizo ni roho mbaya tuu biashara ya mtu unatoa kasoro utadhani wewe ni mtaalamu sana huwezi nunua pita tuu kama mimi anaeweza atawasiliana nae na si kuleta kebehi ambazo hazimsaidii mpambanaji kama mtu anapata dhamana ya kuuza hizo gari unaleta kejeli ili iweje...
 
We jamaa ni masikini wa fikra bora unge kaa kimya...

Wakati mwingine kukaa kimya pia ni busara...

Umesababisha nielewe kwamba
1) wewe si mjasiriamali
2) Wewe hauelewi financial systems
3) Ukoo wenu haujawai kuwa na a serious enterprenuer..

Samahani my analysis based on ur critisms...


I am.back...ama gonna hit harder all idiots
 
haaaaaaa haaaaa nimependa umaliziaji haka kamstsri kamwisho kabisa
 
.,,,,,,,,ASANT KAKA,,,,,,,,,,,,,,,
 
Na ukipewa lifti ukatae
 
Una pepo la umaskini.
 
Gari zuri ila mzigo sio wa kitoto mkuu,bado sijafikia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…