Inategemea imetunzwa vipi, 6.something ni reasonable price kwa noahNamba BC maana yake ina miaka zaidi ya 10 tangu isajiliwe halafu bei Milioni 7 kasoro kidogo,uwiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea imetunzwa vipi, 6.something ni reasonable price kwa noahNamba BC maana yake ina miaka zaidi ya 10 tangu isajiliwe halafu bei Milioni 7 kasoro kidogo,uwiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
huwezi kuuza Noah iliyopuyanga Bongo zaidi ya miaka 10 kwa bei ya 6,800,000,hiyo hapo kwa picha tu inaonyesha imejazwa maputi na kupigwa rangi si chini ya mara tatu,bei halali kwa namba BC ni Milioni NneInategemea imetunzwa vipi, 6.something ni reasonable price kwa noah
Duuuh! Basi sawahuwezi kuuza Noah iliyopuyanga Bongo zaidi ya miaka 10 kwa bei ya 6,800,000,hiyo hapo kwa picha tu inaonyesha imejazwa maputi na kupigwa rangi si chini ya mara tatu,bei halali kwa namba BC ni Milioni Nne
Afazari nisaidie wewe zipo rav4 namba A bado nzima kabisa kucha kutwa wanaesabu Miaka hizigari nyingi zatanzania 2004 kushuka chini Miaka hilio tengenezwa wao kuchwa kutwa wananunua plet number nasio gari na Wana lishana Hadith za plet number nawauziwa plet number sio magariTatizo wabongo wajuaji Sana, huku nilipo Kuna Gari za miaka ya 70 lkn ipo barabarani na zipo Safi kabisa, na wanaendesha wazungu hawana shida. Sasa wabongo atakwambia Gari gani iyo ya zamani.
Basi aseme imetembea KM ngapi?,unaweza kuta hata hiyo 4 M nyingi sana.Afazari nisaidie wewe zipo rav4 namba A bado nzima kabisa kucha kutwa wanaesabu Miaka hizigari nyingi zatanzania 2004 kushuka chini Miaka hilio tengenezwa wao kuchwa kutwa wananunua plet number nasio gari na Wana lishana Hadith za plet number nawauziwa plet number sio magari
Mimi nimependa hizo CCTV camera zilizofungwa juu ya mlango, na hilo swimming pool la blue! Tiles za London, zinavutia kiukweli! Halafu humo ndani nimeielewa hiyo singboard! Sema alivyosema masofa na tv anakuachia bure utumie ndo kaua mchezo!daah nyumba nzuri sana aisee na picha zake zinavutia kweli kweli! mi nimeipenda sanaaa [emoji57]
Ndio mkuu, tunatuma kupitia WhatsApp!Kwa sisi wa mikoani inasafirishwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa mwepes wakutukan utafungiwa wengi watoto bas Kaz kwel kwel akushatumiwa mabando wanajiona wapo fb