Naifahamu Athlete vizuri zaidi, sina uelewa na Brevis; jamaa zangu wawili wamezimiliki kwa zaidi ya miaka 10 kilq mmoja.....wote wakihama kutoka Grande kwenda Athlete kama improved version
Habari Ndugu zangu wa JF Kuna Prado TX naitoa kwa
bei ya ofa 40.8M
Injini 2TL
Gari haina kipengele chochote labda vipengele uje navyo ww
ukileta mteja unakula 100,000 ya Bure