Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Zhongtong Climber
Namba D
Siti 53 2by2
Engine Cummins L360
Gearbox_Fast
Retarder
Front axle,Diff havijabadilishwa
inatumia mafuta kidogo
Halina tatizo lolote
Bei Tzsh mil 60
call,sms,whatsapp 0759399805
Bus lina tatizo gani?
 
Zhongtong Climber
Siti 53 2by2
Engine Cummins L360
Gearbox_Fast
Diff,Front axle original
Retarder,Abs
Haijabadilishwa kitu chochote
Ina ulaji mzuri wa mafuta(dar_mwanza lita 270 Diesel)
Bei_Tzsh mil 60,000,000/=
Unaweza lipa kwa awamu kwa kufanya malipo ya awali mil 35,000,000/= kisha inayobaki ikalipwa kwa makubaliano
Call,sms,whatsapp 0759399805View attachment 2884516View attachment 2884511View attachment 2884514View attachment 2884512View attachment 2884513View attachment 2884517
IMG-20240123-WA0017.jpg
 
Dah! Naona kitu cha Upendo Coach! Hizi gari ndugu zangu Wanyalu walikuwa wanazielewa sana enzi hizo.
Katuokoa sana huyu. Sasa nikawa sijaenda Iringa kitambo sana. Nikaoata safari mwaka juzi nadhani. Nikaenda Mbezi Bus stand, nikaomba wanipeleke kwenye bus la Upendo nikiamini bado ndio King wa Iringa Dar. Aisee.

Kurudi nilirudi na ABC
 
Mwambieni charle diwani abadili engine na rangi na usafi, hiyo huwa inatoka iringa dar 2-3 days. Basi la mabeki 3 wakiwa wanaenda dar.
 
Back
Top Bottom