Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Safi Sana tena ina engine ya 93 scania, engine mkataba!, mwenye hela chukua, ipeleke kusini, piga hela.
 
Basi namba C
Body yutong F11
Engine_Scania 93
Gearbox scania gia5
Front axle,Diff scania
Bima ipo hai mpaka 13/09/2024
Bei ni Tzsh Mil 39
Gari ni nzima inafanya kazi Dar_Dom
mawasiliano call,sms,whatsap 0759399805
View attachment 2869654View attachment 2869655View attachment 2869657View attachment 2869658View attachment 2869659View attachment 2869660
Tufanye ina siti 45 na Kila siti unakula faida ya TZS 23,000/- net faida baada ya makato. Hapa utapata TZS 1mil kwa trip au siku moja.i Mezi miwili tayari hela yako imerudi

NB
HIzi ni hesabu za makaratasi tu, uhalisia inaweza kua tofauti sana. Ukute ni zile gari za trip shamba trip gereji.
 
Usingeuza mkuu
 
Ingia field ujutie hela Yako.
 
Bei unayouza mbona kama haiingii akilini[emoji848]
Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.

Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.

Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. 😇
 
Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. [emoji56]
mkuu umeua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.

Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.

Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge.
 
Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.

Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.

Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. 😇
Umemaliza mkuu
 
Dah acc. Inakosa million 39..hii hatari ASE ngoja nikazane kutafuta pesa
 
Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.

Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.

Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. 😇
😅😅😅 ngoja tumvizie abood na shabiby tubebe ngara ngara zao.
 
Ina maana hili basi halijapata mteja toka mwezi wa 6! Naona kuna tangazo kwenye uzi mwingine basi hili hili.
Hiyo basi inaonekana bado nzima sana tu kutokana na muonekane wake. Ni vile tu mtaani kunawaka moto, ndiyo maana mpaka leo bado matajiri hawajalinunua.
 
ndio nashangaa! Mbona chombo kinaonekana kizima hiki! Ila naonaga matajiri wenyewe wanasemaga hii ni biashara ngumu ila wao wanaongezea mabasi kila mwaka.
 
Zhongtong Climber
Namba D
Siti 53 2by2
Engine Cummins L360
Gearbox_Fast
Retarder
Front axle,Diff havijabadilishwa
inatumia mafuta kidogo
Halina tatizo lolote
Bei Tzsh mil 60
call,sms,whatsapp 0759399805
 
Attachments

  • IMG_20240124_085634_145.jpg
    IMG_20240124_085634_145.jpg
    63.8 KB · Views: 7
  • IMG-20240123-WA0019.jpg
    IMG-20240123-WA0019.jpg
    62.2 KB · Views: 7
  • IMG-20240123-WA0018.jpg
    IMG-20240123-WA0018.jpg
    45.3 KB · Views: 5
  • IMG-20240123-WA0017.jpg
    IMG-20240123-WA0017.jpg
    52.5 KB · Views: 7
  • IMG-20240123-WA0021.jpg
    IMG-20240123-WA0021.jpg
    26.5 KB · Views: 6
  • IMG-20240123-WA0020.jpg
    IMG-20240123-WA0020.jpg
    47.3 KB · Views: 6
  • IMG-20240123-WA0022.jpg
    IMG-20240123-WA0022.jpg
    46.3 KB · Views: 7
Zhongtong Climber
Namba D
Siti 53 2by2
Engine Cummins L360
Gearbox_Fast
Retarder
Front axle,Diff havijabadilishwa
inatumia mafuta kidogo
Halina tatizo lolote
Bei Tzsh mil 60
call,sms,whatsapp 0759399805
Boss hivi simu za Itel bado zipo eee?
Maana sio Kwa picha hizi.
 
Back
Top Bottom