js52471224
Member
- Oct 8, 2017
- 50
- 31
IPO Toyota mark 2 million 3 nitafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakuchekNipo interested na hii kitu aisee
Chief tractor unit used za MAN zipo?Tunauza malori(tractor unit) ya Howo na matela
_Malori yapo mapya(brand new) na yaliyotumika china (second hand) ambayo yamefanyiwa refubrishment.
_Bei ya lori jipya ni Tzsh Mil 130 pamoja na ushuru.
_Bei ya used ni Tzsh mil 80 pamoja na ushuru.
Njia za malipo kwa used _unatanguliza mil 60 gari ikifika Dar unamalizia mil 20.Kwa jipya unatanguliza mil 100 inayobaki mil 30 italipwa ndani ya miezi mitano ukishapokea gari
_Gari utaipata ndani ya wiki tatu baada ya kufanya malipo
_Tela za flatbed tunauza mil 45 tu
Ofisi yetu ipo jengo la mlimani towers opposite na mlimani city.
Mawasiliano/whatsap +255759399805View attachment 2716527View attachment 2716531View attachment 2716528View attachment 2716529View attachment 2716530View attachment 2716532View attachment 2716533View attachment 2716534