Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Ummy mwalim ana taarifa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukitaka kujua watu wana dharau njoo kwenye jukwaa hili. Ninunulie basi mimi 1.5m itakushinda?Hahahah hio gari labda kwa 1.5M tena hio tunakubariki tu. Gari haina thamani hio!
Hahahah bebi wangu utachekwa bwana af mie kama kijana mtanashati ntadharaulika hata huko saluni unakoenda..Nawezaje kukununulia gari kemchwa kemchwa namna hio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukitaka kujua watu wana dharau njoo kwenye jukwaa hili. Ninunulie basi mimi 1.5m itakushinda?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusio na magari gari yoyote tunaiona gari tu mradi inatembeaHahahah bebi wangu utachekwa bwana af mie kama kijana mtanashati ntadharaulika hata huko saluni unakoenda..Nawezaje kukununulia gari kemchwa kemchwa namna hio?
[emoji23][emoji23][emoji23] Kiukweli japo gari langu sio la gharama kubwa ila hilo hapo uongo!!!
Hiyo offer akiikataa atajilaumu.Mkuu kama hutojali ukifika 3M nijulishe nimchukulie kijana wangu hako ka gari
Toyoya CORONA😷😷😷😷Toyota Corona
Namba B
Mwaka 1995
Automatic
Mileage_153541
Bei ni Tzsh 4000000/=
Hahahah sio msio na magari! Wanawake wengi 😂😂😂 nikija na hilo dude japo kemchwa ila huchomoi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusio na magari gari yoyote tunaiona gari tu mradi inatembea
Hem njoo nalo tuone kama kweli [emoji16]Hahahah sio msio na magari! Wanawake wengi [emoji23][emoji23][emoji23] nikija na hilo dude japo kemchwa ila huchomoi.
Si kikubwa uhai tu 😂😂😂Hem njoo nalo tuone kama kweli [emoji16]
Ni sawa kabisa kwaza ilitakiwa 2000000Hiyo bei haipungui