Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Safi Sana tena ina engine ya 93 scania, engine mkataba!, mwenye hela chukua, ipeleke kusini, piga hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye ina siti 45 na Kila siti unakula faida ya TZS 23,000/- net faida baada ya makato. Hapa utapata TZS 1mil kwa trip au siku moja.i Mezi miwili tayari hela yako imerudiBasi namba C
Body yutong F11
Engine_Scania 93
Gearbox scania gia5
Front axle,Diff scania
Bima ipo hai mpaka 13/09/2024
Bei ni Tzsh Mil 39
Gari ni nzima inafanya kazi Dar_Dom
mawasiliano call,sms,whatsap 0759399805
View attachment 2869654View attachment 2869655View attachment 2869657View attachment 2869658View attachment 2869659View attachment 2869660
Usingeuza mkuuTufanye ina siti 45 na Kila siti unakula faida ya TZS 23,000/- net faida baada ya makato. Hapa utapata TZS 1mil kwa trip au siku moja.i Mezi miwili tayari hela yako imerudi
NB
HIzi ni hesabu za makaratasi tu, uhalisia inaweza kua tofauti sana. Ukute ni zile gari za trip shamba trip gereji.
Ingia field ujutie hela Yako.Tufanye ina siti 45 na Kila siti unakula faida ya TZS 23,000/- net faida baada ya makato. Hapa utapata TZS 1mil kwa trip au siku moja.i Mezi miwili tayari hela yako imerudi
NB
HIzi ni hesabu za makaratasi tu, uhalisia inaweza kua tofauti sana. Ukute ni zile gari za trip shamba trip gereji.
Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.Bei unayouza mbona kama haiingii akilini[emoji848]
mkuu umeua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.
Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.
Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. [emoji56]
Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.
Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.
Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge.
Umemaliza mkuuSasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.
Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.
Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. 😇
😅😅😅 ngoja tumvizie abood na shabiby tubebe ngara ngara zao.Sasa hivi matajiri wengi wanauza magari waliyoyatumia kwa muda mrefu na kuwaingizia faida; ili wanunue mabasi mapya! Kumbuka ushindani umekuwa ni mkubwa sana.
Hivyo kama unahitaji hiyo chombo, hutakiwi kuwa na hofu. Mtafute fundi wako mwaminifu, mnaenda kukagua; halafu unachukua chombo. Baada ya hapo ni kulibadili tu hilo basi jina na kuliita DeepPond Express.
Baada ya hapo na wewe unaanza kuvimba mtaani kama wenzako akina Shabiby, nk. Ukiulizwa chanzo cha utajiri, unatuambia ulianza kwa kuuza mahindi ya kuchoma maeneo ya Mwenge. 😇
Hiyo basi inaonekana bado nzima sana tu kutokana na muonekane wake. Ni vile tu mtaani kunawaka moto, ndiyo maana mpaka leo bado matajiri hawajalinunua.Ina maana hili basi halijapata mteja toka mwezi wa 6! Naona kuna tangazo kwenye uzi mwingine basi hili hili.
ndio nashangaa! Mbona chombo kinaonekana kizima hiki! Ila naonaga matajiri wenyewe wanasemaga hii ni biashara ngumu ila wao wanaongezea mabasi kila mwaka.Hiyo basi inaonekana bado nzima sana tu kutokana na muonekane wake. Ni vile tu mtaani kunawaka moto, ndiyo maana mpaka leo bado matajiri hawajalinunua.
Boss hivi simu za Itel bado zipo eee?Zhongtong Climber
Namba D
Siti 53 2by2
Engine Cummins L360
Gearbox_Fast
Retarder
Front axle,Diff havijabadilishwa
inatumia mafuta kidogo
Halina tatizo lolote
Bei Tzsh mil 60
call,sms,whatsapp 0759399805