Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Zhongtong Climber
Namba D
Siti 53 2by2
Engine Cummins L360
Gearbox_Fast
Retarder
Front axle,Diff havijabadilishwa
inatumia mafuta kidogo
Halina tatizo lolote
Bei Tzsh mil 60
call,sms,whatsapp 0759399805
Bus lina tatizo gani?
 
Linauzwa 1 tu? Au kampun inauzwa?
 
Dah! Naona kitu cha Upendo Coach! Hizi gari ndugu zangu Wanyalu walikuwa wanazielewa sana enzi hizo.
Katuokoa sana huyu. Sasa nikawa sijaenda Iringa kitambo sana. Nikaoata safari mwaka juzi nadhani. Nikaenda Mbezi Bus stand, nikaomba wanipeleke kwenye bus la Upendo nikiamini bado ndio King wa Iringa Dar. Aisee.

Kurudi nilirudi na ABC
 
Mwambieni charle diwani abadili engine na rangi na usafi, hiyo huwa inatoka iringa dar 2-3 days. Basi la mabeki 3 wakiwa wanaenda dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…