hapo sawa hata mm namshauri Manumba achukue hiyo 15,5M
huku kuna jamaa waliochacha wanaziuza hadi 12M
halali kabisa toka mwaka jana ni 15M mpaka 18M ikiwa 330 LEXUS inavuka 20M
lkn kwa usawa wa huyu jamaa hela ilivyobanwa mwaka 2020 zitashuka sana hadi 12M - 10M
au akimbilie kuziuza huko www.zoomtanzania.com itatoka upesi
ni ushauri tu Used 2007 Toyota Harrier at TSh 14,500,000