Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekutana na Harrier 330 Lexus ina 2390cc na ni combination Auto /Manual siku hizi hawaleti tena tena 3000cc na unaweza badili aina yoyote ya injini kuanzia 5A,2AZ hadi 2GRhiyo uliyotag hapa ya 14m itakuwa 3000cc mkuu, kama ni 240G mgongoni kwake (2360cc) na haina shida kama hii yangu nipigie chap 0719 143475 nakuja kuilipia sasa hivi. I am serious
Hilo nalo JIBU naliunga mkono, mm naamini gari zote ni USED iwe Japan au TanzaniaMara zote mpaka mtu anauza gari yake ya thamani basi ujue tayari ni mzigo kwake. Na bahati mbaya sana hakuna muuzaji atakwambia kinaga ubaga uzito wa huo mzigo.
Sasa mteja unapaswa ujiongeze kujua namna ya kuubeba huo mzigo kabla ya kununua. Hili ni angalizo tu.
Otherwise hiyo gari ni nzuri, gari ya heshima mjini na katika picha hapo inaonekana iko imara na bomba. Bei? Hapo ni mapatano tu. Hakuna bei ndogo au kubwa katika bidhaa za kuuziana kibinafsi.
sio wote wako km wewe wanunue hizo gari kwa 28M mradi uweke Plate No mpya TRA baada ya siku utafute soko, sio kwa miaka hii Mkuu, pia hatupo kuharibiana biashara ni kueleweshana tu MNAPIGWA hizo gari km ni zaidi ya 18M kwani hazivuki $ 4000 Harrier ya 2006,2007jibu fupi tu ni kwamba hiyo gari ina matatizo mkuu, usiwe mjuaji kupita kiasi. unafahamu ukiagiza hiyo gari mpk inafika TZ inacost kiasi gani? Ni zaidi ya 28m.
sasa ukikuta mtu anauza 14m hujiulizi?? then kama umejiridhisha ni nzuri KAILIPIE HIYO MKUU. Huyo bei yake ni TZS. 21.5m
Ahsante
Wameshanitapeli jamaa yanguAngalia usije ukatapeliwa ukaja na machozi!
Wameshanitapeli jamaa yangu
kuna showroom 2 za waarabu kule Kunduchi njia ya Bagamoyo wanaita kwa Warioba nimezikuta walianzia 30M nikawahesabia 17M wakakubali ndio nikakuta nimeingia mkenge Harrier nyeusi tii LEXUS eti kuwa TRA wananiachia mwenyewe ndipo fundi wangu akanifungua masikio 17M sikuwapa baada ya kuijua hiyo biashara, ikanibidi nichague ya hapahapa TZ
naogopa kuyataja hayo mauzaji
tusiingie ndani kazi za watu hizo acha watu wafuate namba mpya
Ndicho anachokitafuta huyu mkuu? Yani ununue Harrier second generation zenye 2AZ vvti(2003-2010) kwa 14m?...Na zile 1st generation zenye 5S engine(1998-2002) utanunua bei gani sasa???Angalia usije ukatapeliwa ukaja na machozi!
uliiacha ya 17m unasema ya matapeli, sawa vizuri. Na tuambie basi hiyo ya hapa hapa Tz uliyoinunua uliinunua kiasi gani?Wameshanitapeli jamaa yangu
kuna showroom 2 za waarabu kule Kunduchi njia ya Bagamoyo wanaita kwa Warioba nimezikuta walianzia 30M nikawahesabia 17M wakakubali ndio nikakuta nimeingia mkenge Harrier nyeusi tii LEXUS eti kuwa TRA wananiachia mwenyewe ndipo fundi wangu akanifungua masikio 17M sikuwapa baada ya kuijua hiyo biashara, ikanibidi nichague ya hapahapa TZ
naogopa kuyataja hayo mauzaji
tusiingie ndani kazi za watu hizo acha watu wafuate namba mpya
tusiingilie Mada ya Jamaa maana ya uuzaji Gari lake Mada zinazohusu uagizaji wa Magari tumezijadili sana mm nimetoa mfano tu wa option za kununua kununua gari ya mwaka huo km unataka Luxuriy utapigwa kwa kuwa unaangalia namba angalia Make, Mile age na qualitywewe hata hueleweki, umesema tunapigwa na kwamba hixo gari ni US $4000 ...Sawa. Basi naomba unijibu ukiiagiza mpk inafika Tz jumlisha ushuru wa TRA, Port charges, Tbs charges, Insurance na kila kitu mpk inakufikia nyumbani kwako itakugharimu kiasi gani? Labda tuanzie hapo kwanza. halafu sasa tutakwenda kwa hao wanaouza 14m (2007 na yenye 60,000 Kms)
.
Nasubiri jibu lako mkuu
Ok Mkuu sorry naona naeleweshwa Lengo la Mleta Mada ni kuuza sio kumharibia, Nimekuelewauliiacha ya 17m unasema ya matapeli, sawa vizuri. Na tuambie basi hiyo ya hapa hapa Tz uliyoinunua uliinunua kiasi gani?