Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Wenye pesa zenu changamkieni Bajaji hiyo
 
Hilo nalo ni kosa kumbe? [emoji847]
Kwenda Garage kwa ajili ya Car Wash then kupiga picha?? Uko serious kweli??
.
Sawa, tuseme nimekosea...ulitaka nipigie wapi picha?

Sent using Jamii Forums mobile app
ikiwa bar inakunywa.
Watanzania huwa mnakosea sana kwenye marketing na bado mnajifanya wajuaji. ungeuliza vizuri unapata na ushauri unadhani kila mtu atajua iko carwash.
 
ikiwa bar inakunywa.
Watanzania huwa mnakosea sana kwenye marketing na bado mnajifanya wajuaji. ungeuliza vizuri unapata na ushauri unadhani kila mtu atajua iko carwash.
Mwingine atajua iko wapi?
.
Ulitaka nipigie picha wapi mzee? Dah...kukosoa kwingine kunaboa sana aisee.
.
Mimi nauza gari siuzi picha mkuu. Ahsante kwa kunielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…