Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Gari zote zinazouzwa hapa ni za 2007 kushuka chini , yani hakuna gari ambayo ni current , Yan imekuwa made mwaka huu nazani ndo itakuwa nzuri . Kweli wa tz wengi tunatumia gari takataka za mda mrefu ivo
 
Hii mpk 20 uza
Gari nzuri na ziko kwenye market Sahv especially hii 4cylinder
Ngj nitacheck na wadau wangu kama akitoka mtu serious Ntaku link naye
Mm sibahatishagi biashara

Ova
 
Ndicho anachokitafuta huyu mkuu? Yani ununue Harrier second generation zenye 2AZ vvti(2003-2010) kwa 14m?...Na zile 1st generation zenye 5S engine(1998-2002) utanunua bei gani sasa???
.
Watu wengine huwa wanawatafuta matapeli kwa lazima.
Hii utaiuza tu
Miezi miwili iliyopita nlimchukulia jamaa yngu kwa 20m ila kwa mbindeee

Ova
 
TRA 6M na kikotoo kile kile au kipo kingine? Mkuu utuasidie maana huwa zinasoma juu kuliko bei
 
Exactly km ulivokadiria mkuu.hapo kwenye bima ndio umeweka kiasi kidogo.hiyo ni bima ya Ist.
 
YOM: 2005
Engine: 2TR
Capacity: 2670cc
Petrol
Mileage: 96,000Kms
.
Location: Kibamba - Dsm
.
Price: TZS. 40m
.
Call: 0719 143475
 
Mods mmeniharibia heading yangu, hii itaniharibia soko kwa watu makini.
"A2005....." NAOMBA MAREKEBISHO PLEASE.
.
Vile vile mimi nilitumia CAPITAL LETTERS TU kwenye heading yangu, nyinyi mmefanya mnavyotaka. Mnatu-discourage kwakweli.
.
Kuuza gari ya milioni 40 inahitaji umakini na ni kazi ngumu.
.
.
Cc: Moderators
 
Mods mda mwingine huwa wapuuzi sana.yaani wanajifanya wao ndio wanajua kutunga kuliko hata wewe mwenye mawazo..
Hapo wanafell sana maana wanajifanya wao ndio wanakuwazia nini cha kuandika kwenye Uzi wako au wanawaza zaidi yako wewe mleta Uzi...
 
Sometimes hawa Moderator huwa wanaudhi sana. Sijui kwa nini? Kuna vitu wanafanya ni kama ubabe sijui au kwa sababu forum ina watu wengi hata 'wakikufyndukila' wewe haiwapunguzii kitu sijui yaani very boring@Manumba,
 
Sometimes hawa Moderator huwa wanaudhi sana. Sijui kwa nini? Kuna vitu wanafanya ni kama ubabe sijui au kwa sababu forum ina watu wengi hata 'wakikufyndukila' wewe haiwapunguzii kitu sijui yaani very boring@Manumba,
They simply do not care.
.
Inachefua sana mkuu bampami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…