Kibabu chenye pesa ndefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 309
- 205
Tano ipo mkuu
5.5 M nikutwangie?Engine: 1NZ vvti
Capacity: 1490cc
.
Location: Shekilango - Dsm
.
Call: 0719 143475
View attachment 1263133View attachment 1263134View attachment 1263135View attachment 1263136View attachment 1263137View attachment 1263138View attachment 1263139
Kasema Tegeta, DSM.Iko wapi Mkuu?
Sijakuelewa mkuuHii Gari kwenye magroup ya WhatsApp inatembea kishenzi
10kms/1litre approximately, kwa Dsm kwenye foleni muda mwingiInatatizo gani mkuu????? ,lita moja unamakadirio ya kwenda km ngapi.
Sijakuelewa mkuu
Namaanisha inatangazwa Sana kwenye magroup ya wauza Magari WhatsApp huko
Kumbe!?Namaanisha inatangazwa Sana kwenye magroup ya wauza Magari WhatsApp huko
Atakapokujibu utanitag na mm?Na bei ni hiyo hiyo au kuna tofauti ya bei mkuu...? Asante.
Unaweza ukaona bei hapo [emoji85]Na bei ni hiyo hiyo au kuna tofauti ya bei mkuu...? Asante.
Atakapokujibu utanitag na mm?