Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Punguza bei isiyozidi 10mil itatoka
Kanunue hizo za bei hiyo uliyoitaja huko kwengine mkuu, Mimi ya kwangu nauza 14.8m Mazungumzo yapo kidogo.
.
Nenda BEFORWRD KAULIZIE UKITAKA KUAGIZA RAUM YA 2004 YA 39,000Kms UTAIPATA KWA BEI GANI HALAFU RUDI UTUPE MREJESHO [emoji1666]
.
Msipende kuzungumza habari za bei kwa mambo msiyoyajua wazee, eti uza below 10m....are you serious??? [emoji848]
 
Kwa maelezo haya,kwa nini umeandika "nauza Raum new model" wakati unajua gari unalouza Ni la 2004 (chakavu) na siyo la 2017 (new model) ?

Unajicontradict mwenyewe. Hujui kufanya biashara.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kisirani tupu.

Gari mil 14.8 ~ mil 15 alafu mtu anakuambia uuze mil 10 ila unakomaa kumjibu kwa dharau bora akanunue BE FORWARD ndiyo unamtisha au? Si umjibu tu kwa hekima?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maelezo haya,kwa nini umeandika "nauza Raum new model" wakati unajua gari unalouza Ni la 2004 (chakavu) na siyo la 2017 (new model) ?

Unajicontradict mwenyewe. Hujui kufanya biashara.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kumbe Kuna Raum ya 2017? Hebu tuletee sample ya picha ya hiyo gari mkuu [emoji1666]
.
Kwanini unachangia kitu usichokifahamu ukitaka kuonyesha unakifahamu?
.
UNAJIDHALILISHA Haya tuletee picha ya hiyo Raum iliyotengenezwa Japan mwaka 2017 iliyopo Tanzania
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unauza Raum ya 2004 na unaita new model? Isitoshe umetemper na milage 39,000km.

Usitie ustaarabu wa samahani mzee, kilichoeleweka umetoa boko. Kingine usikaze sana fuvu relax utakuja kufa kabla ya siku zako bwana dalali.
 
Hi ni kwa mujibu wa maelezo yako mwenyewe,nimekuquote wewe ulivyomjibu huyo jamaa. Gari ya 2004 unaiitaje new model? Badili hiyo heading alafu uache kisirani kwenye biashara.
 
Hi ni kwa mujibu wa maelezo yako mwenyewe,nimekuquote wewe ulivyomjibu huyo jamaa. Gari ya 2004 unaiitaje new model? Badili hiyo heading alafu uache kisirani kwenye biashara.
Eti unaiitaje new model gari ya 2004? Ujinga gani huu??? Na kwamba eti nibadili heading ya tangazo langu.
UNAZIFAHAMU SERIES ZA RAUM? LABDA TUANZIE HAPO
.
BUMBAAAVUUU
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unauza Raum ya 2004 na unaita new model? Isitoshe umetemper na milage 39,000km.

Usitie ustaarabu wa samahani mzee, kilichoeleweka umetoa boko. Kingine usikaze sana fuvu relax utakuja kufa kabla ya siku zako bwana dalali.
Dalali mama yako.
.
Eti ume-temper na mileage [emoji2]....njoo kwenye gari nikuoneshe inspected mileage ikiwa Japan na inspected mileage ya TBS ikiwa Tanzania
.
HUJUI MAGARI KAA KIMYA DADA, USIJILAZIMISHE KUTUONESHA UJINGA WAKO, UNAJIDHALILISHA [emoji2][emoji2]
.
BUMBAAAVUUU
 
ANGALIZO:
Leo niko ON MOOD sitakuwa na simile na KEJELI, KASHFA, DHARAU WALA UJINGA WOWOTE ULE WA AINA HIYO
.
Tutakwenda bampa to bampa [emoji2][emoji2] na nitakuwa online muda wote.
 
Dalali punguza povu [emoji23][emoji23]
Nilikwambia usikaze fuvu utakufa mapema inspection report ya wapi wewe, dalali umetemper na milage usibishe.. unaitaje raum ya 2004 new model? Hivi unaelewa maana ya new model

Acha hasira nyoosha maelezo dalali...
 
ANGALIZO:
Leo niko ON MOOD sitakuwa na simile na KEJELI, KASHFA, DHARAU WALA UJINGA WOWOTE ULE WA AINA HIYO
.
Tutakwenda bampa to bampa [emoji2][emoji2] na nitakuwa online muda wote.
Unamwambia nani sasa [emoji23][emoji23]
 
kaburungu
ku-like pekeake hakutoshi nipo nakusubiri, lete hoja ingine niendelee kukuonyesha jinsi usivyoyajua magari.
.
Ukileta KASHFA najibu KASHFA vile vile, ukileta TUSI najibu TUSI vile vile [emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…