Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Umeonyesha ujinga wa Hali ya juu sana, toka lini Toyota zikatoka China???
.
Anyway wacha nikuache kama ulivyo [emoji1666]
China kaisema tuu lakini point yake ni ukweli mtupu
 
Ww unayejua ndo unataka kututapeli
Watch your mouth bro, tafadhali tusiitane matapeli. Tafadhali SANA [emoji1666]
.
Sijakuita kwenye huu Uzi, sijamlazimisha mtu yeyote yule humu ndani alipie chochote Kwa namna yoyote ile. UNANIITAJE TAPELI?
.
Niko hapa kuuza mali yangu and nothing else.
 
Mkuu usipanic

Gari itatoka keep calm

Tunakupa changamoto tuu don't take it personal [emoji1666]
 
YOU SERIOUS???
CHANGAMOTO MPAKA KUFIKIA KUNIITA TAPELI?
.
SIHITAJI CHANGAMOTO YA AINA HIYO MKUU, NAOMBA TUSIKWAZANE [emoji1666]
 
Back
Top Bottom