Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Sema umetumwa kuuza unaongeza cha juu dalali
 
Dalali mama yako mzazi.
.
Utoto umeanza Sasa, Ina maana hujui kuwa huwa kunakuwaga na inspection ya mileage? Au ndio upuuzi tu?
.
Kwanza una umri gani aisee, nisije nikawa nazozana na kasichana kadogo.
.
Hiyo picha nimeattach ni sample tu, UKIFIKA Kwenye gari nitakuonyesha namna ya kukagua mileage na nitakupa evidence
.
Pumbavu wewe
 
Nifuatilie kwenye nyuzi za magari utaelewa dalali, kwa taarifa yako nimeagiza gari zaidi ya mara nne all the way from Japan. Naelewa lots of stuffs

Then hii ya kuita dada au msichana unajiona mjaaanja ita hata mara1000 mzee dalali, endelea kukaza fuvu dalali
 
Kama ninavyomuingizaga mama yako
Oya leta picha ukiwa ndani ya Raum new model. Halafu utakuwa umekulia uswazi kinywa kichafu sana dalali.

Kuwa na adabu unaongea na baba yako ujue najilaum nilikutelekeza no wonder umekua wa hovyo hovyo. Acha udalali
 
Dalali umekulia? Njoo ule aisee wakati mwingine njaa ikihamia kichwani huleta athari.

Muda wa launch dalali
 
Oya leta picha ukiwa ndani ya Raum new model. Halafu utakuwa umekulia uswazi kinywa kichafu sana dalali.

Kuwa na adabu unaongea na baba yako ujue najilaum nilikutelekeza no wonder umekua wa hovyo hovyo. Acha udalali
Subiri mama yako afike, utapata picha mwanangu.
.
Kinywa kichafu nitamwambia mama yako akifika akisafishe vzr na mswaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…