Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Ukiimport from Japan

All charges i mean clearance , duties and taxes , shipping line charges mpaka inatoka bandarini ikiwa tayari na number plates ina cost 14M.

Hii imetumika hapa hapa hone let's say hata for a month kwa hiyo hela ni nyingi sana labda kwa wasiojua gharama za magari.

Sorry kama nimekuharibia biashara.

sent using Simenzi mayai
 
Kwa huu ukata, kipigo cha Corona na utitiri wa magari kutoka Japan yanayouzwa kwa bei ndogo kuliko hiyo yako, hiyo gari ukiweza hata kuuza kwa nusu ya hiyo bei (7milioni) uje basi umshukuru sana Mungu.

Maisha yamebadilika sana.
 
Ukiimport from Japan

All charges i mean clearance , duties and taxes , shipping line charges mpaka inatoka bandarini ikiwa tayari na number plates ina cost 14M.

Hii imetumika hapa hapa hone let's say hata for a month kwa hiyo hela ni nyingi sana labda kwa wasiojua gharama za magari.

Sorry kama nimekuharibia biashara.

sent using Simenzi mayai
Mi nadhani umesema ukweli, mi natoa 10 M net!

Akiwa tayari kupokea anijulishe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiimport from Japan

All charges i mean clearance , duties and taxes , shipping line charges mpaka inatoka bandarini ikiwa tayari na number plates ina cost 14M.

Hii imetumika hapa hapa hone let's say hata for a month kwa hiyo hela ni nyingi sana labda kwa wasiojua gharama za magari.

Sorry kama nimekuharibia biashara.

sent using Simenzi mayai
Mkuu hiyo gari plate no ya mwaka jana nafikiri miezi ya kati au mwanzoni ila kiuhalisia hiyo ale 10m.
 
Back
Top Bottom