- Thread starter
- #401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanafiki hapa hawawezi kukuambia ila wacha nikuambie tu kwa Bei hiyo na Aina hiyo ya gari utasubiria Sana.
Sawa mkuu, wacha nisubirieWatu wanafiki hapa hawawezi kukuambia ila wacha nikuambie tu kwa Bei hiyo na Aina hiyo ya gari utasubiria Sana.
Jamani😅Magari mengine mnayanunua ya nini, sura kama beseni la kuogea mtoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha ha ha da mkuu we katili sana nimecheka gari haina sura alafu iko chini sana kwa barabara za bongo kila saa unakwangua chini inakela
HahahaaaaMagari mengine mnayanunua ya nini, sura kama beseni la kuogea mtoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 daaah!Magari mengine mnayanunua ya nini, sura kama beseni la kuogea mtoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kamshauri poa sana maana kama angechagua eneo zuri let say kwenye kijani kibichi kamera nzuri na mengine siyajui hii gari ingeenda level zingineUsijae upepo .chukulia chanya mawazo ya watu.
Sioni sababu ya kupanick wakati gari kwa macho tu,imesimamia ukucha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaamshale namaliza huo masela 260.kama mpaka sai hii ujapata mteja jf kumajee ist tu