Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Huyo aliyekosoa kupigia picha garage ilibidi atoe solution picha zipigiwe wapi
Kupiga gari picha ikiwa Garaje ni ishara kua hiyo gari ishaanza urafiki na mafundi. Ingawa sina uhakika kama zile picha pale juu ni garage.
 
One of the Toyota Ugliest designs no dis!

Hawa designers wa hii gari na ile Will Vs nadhani watakuwa washarudishwaga kitaa zamani sana.
Hii si kama Rumoi 😀 😀
imgres.jpg
 
Back
Top Bottom