Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gari huzijui funga domo lakoGari yamwaka 2006 inakuaje new model?
ameulizagari huzijui funga domo lako
Sahihi kabisa mkuu [emoji1666]Gari kali,zuri sidhani kama utamaliza masaa 72 hujauza hii gari
imekidhi vigezo vyote na kuhusu upya nakazia "ni mpya" ndio
kwani chakushangaza nini tunaposikia gari jipya? inajulikana wazi
gari zote from Japan ikifika bongo ni mpya au watu mnajitoa ufahamu.
Ningekua na pesa ningeichukua hiyo gari,niki ipiga editing mwezi 1 tu naileta
tena humu humu JF naiuza kwa 10m na itagombaniwa kama mpira wa kona.
ikifika 5m nitafuteKaribuni tuitoe wakuu [emoji1666]
Asipokutafuta basi atakutana na mimi kwenye 4mikifika 5m nitafute
[emoji23][emoji23][emoji115]Asipokutafuta basi atakutana na mimi kwenye 4m