Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haihitaji matengenezo yoyote yale mkuu, hivi karibuni tu nimesafiri nayo Dar - Songea (Go & return). Ukilipia utawasha na kuondoka tu, hutafanya chochote maana hata service nimeshaifanyia [emoji1666]Mkuu samahani vp inapiga start na kuondoka au inahitaji matengenezo madogo
2004 Nissan Tiida (CQS)
.
YOM: 2004
Engine Code: HR1500cc
Capacity: 1490cc
.
Fuel: PETROL (Na sio Diesel Kama ilivyoandikwa kimakosa kwenye kadi ya gari)
.
Automatic
Mileage: 167,000 Kms
.
Haijawahi kupata ajali yoyote ile
Haigongi chini wala shock ups
.
Ukiacha bampa ya mbele Na ya nyuma, sijawahi kuirudia rangi pengine popote pale.
Gari halina tatizo lolote wakuu na juzi tu hapa nimetoka nayo Songea.
.
Full AC [emoji2414]
Full Documents [emoji184]
.
Bei: TZS. 3.9m [emoji1666]
.
Location: Sinza - Dsm
.
Call: 0717 650800
.
Gari ni ya kwangu mwenyewe, epuka madalali [emoji4]View attachment 2279248View attachment 2279249View attachment 2279250View attachment 2279251View attachment 2279252View attachment 2279253View attachment 2279254View attachment 2279255View attachment 2279256View attachment 2279257View attachment 2279258View attachment 2279259View attachment 2279260View attachment 2279261View attachment 2279262View attachment 2279263View attachment 2279264View attachment 2279265
Sasa mtoto kukwaruza gari au boda boda kukwaruza gari hiyo nayo ni ajali? Hivi kwanini huwa inatokea mtu ukajiona Ni mjuaje sana? Inachefua kwakweli.
Hivi gari ikiw imepata ajali au kirudiwa rangi kunakua na tatizo?Sasa mtoto kukwaruza gari au boda boda kukwaruza gari hiyo nayo ni ajali? Hivi kwanini huwa inatokea mtu ukajiona Ni mjuaje sana? Inachefua kwakweli.
.
Mimi mmiliki wa gari ninakueleza gari yangu haijawahi kupata ajali, sasa wewe kama Ni mteja kweli Ni jukumu lako kuja ukiwa na fundi wako uthibitishe ninayosema.
.
Sio kila jambo Ni lazima uonyeshe unalijua mzee, wakati mwingine unaweza kupata aibu kwa wanaolijua kweli KUKUDHARAU [emoji1666]