Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibongo gari mpya ni gari ambayo imekuwa used huko sio bongo. Huu ni msimu wetu. Mtu kama anamaanisha 0km ataongeza kabisa kuwa ni 0km lakini akisema mpya wengi wanajua used from JapanPathetic, gari ya mwaka 2003 ndio mpya, mpya kabisa!!!
Si nchezo
Nashukuru kwa kunisaidia ufafanuzi mkuu [emoji1666]Kibongo gari mpya ni gari ambayo imekuwa used huko sio bongo. Huu ni msimu wetu. Mtu kama anamaanisha 0km ataongeza kabisa kuwa ni 0km lakini akisema mpya wengi wanajua used from Japan
Mkuu kama gari ujaiuza nipe account number nikuwekee hiyo pesa kesho asbuhi uje nao hapa mbeziMaelezo kwenye kadi
.
Ipo: Sinza - Dsm
.
Piga: 0717 650800View attachment 2271311View attachment 2271312View attachment 2271313View attachment 2271314View attachment 2271315View attachment 2271316View attachment 2271318View attachment 2271322View attachment 2271325View attachment 2271326
Mkuu samahani vp inapiga start na kuondoka au inahitaji matengenezo madogo
3M vp mkuu?
Wabongo mmepewa bei chee mnaanza kuogopa chukueni chuma hiyo labda ameamua kufanya " a little charity"" 😂😂🤣😂😂🤣😂🤣😂3M vp mkuu?
Tiida Kuna jamaa yangu kakaa nayo mwaka tu kaiuza ila hajasema shida ni nini kabaki na siri yakeWabongo mmepewa bei chee mnaanza kuogopa chukueni chuma hiyo labda ameamua kufanya " a little charity"" 😂😂🤣😂😂🤣😂🤣😂
Wallet yake itakuwa imechoka kutii kiu ya tiidaTiida Kuna jamaa yangu kakaa nayo mwaka tu kaiuza ila hajasema shida ni nini kabaki na siri yake
Yani ww una njaa sasa iyo engine umeona kubwa1490cc [emoji1666]