Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

1999 Toyota RAV4 Short Chassis (DKM)
.
YOM: 1999
Engine Code: 3S
Capacity: 1990cc
.
Fuel: Petrol
.
Automatic
Mileage: 167,000 Kms
.
Haijawahi kupata ajali yoyote ile
Haigongi chini wala shock ups
.
Haijawahi kurudiwa rangi
.
Full AC [emoji2414]
Full Documents
.
Location: Kimara - Dsm
.
Price: TZS. 6.9m
.
Call: 0717 650800
.
Gari ni ya kwangu epuka madalali [emoji1666]

IMG-20220712-WA0008.jpg
IMG-20220712-WA0009.jpg
IMG-20220712-WA0007.jpg
IMG-20220712-WA0006.jpg
IMG-20220712-WA0005.jpg
 
Duh gari imetengenezwa hata primary sijaanza na sasa nina mjukuu then unainadi na namba D? Hii INJI uhuru umezidi sana.
Kama 1999 ulikuwa hujaanza shule,let's assume umeanza chekechea 2000,alafu ukamaliza la Saba 2007 (Bado hujabarehe), ukabarehe ukiwa form 2 mwaka 2009 (which is unlikely ubarehe na kumpa mimba Binti mwaka huo)

Mtoto wako naye likely kabarehe Ana Miaka 14,ndivo kusema naye kampa Binti mimba mwezi January mwaka huu🤣 ,na wewe Uhuru unataka kuzidi
 
Hii analysis hatari😂😂
 
Yaani uaribu m6.9 kwa kigari cha kubeba watu wanne na milango miwili wakati iliongeza m2 unavuta noah unakula vichwa tu
 
Back
Top Bottom