Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mwenzenu anauza gariii acheni hizo
 
Mkuu, inakuaje namba D gari ya 1999!!
 
Binadamu wengine wameumbwa kwa ajili ya kusumbua wengine tu.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Sawa ni manufacturing year, lakini si imetumika hapa bongo, sio imetoka japan na kufikia showroom

Au si hivyo mkuu!
Ninafikiri kwa hakika kabisa HAUELEWI unachokizungumza mkuu, samahani kama nimetumia lugha kali.
.
Ukipata nafasi nipigie nikufahamishe hapo panapokutatiza. Ingawaje gari nimeshauza tayari [emoji1666]
 
Ninafikiri kwa hakika kabisa HAUELEWI unachokizungumza mkuu, samahani kama nimetumia lugha kali.
.
Ukipata nafasi nipigie nikufahamishe hapo panapokutatiza. Ingawaje gari nimeshauza tayari [emoji1666]
Mkuu nakupa hongera sana kwa kuwa na uvumilivu na ukomavu wa hali ya juu maana majibu ya kejeli yalikua mengi sana ila umewajibu kwa ustaarabu sana.
 
Mkuu nakupa hongera sana kwa kuwa na uvumilivu na ukomavu wa hali ya juu maana majibu ya kejeli yalikua mengi sana ila umewajibu kwa ustaarabu sana.
Nashukuru sana mkuu [emoji1666]
 
Hio gari inatakiwa kurudiwa rangi ndo iuzwe...
 
YOM: 2000
Engine: EJ
Capacity: 989cc
Automatic
Petrol
93,000 Kms
Full AC
Full Documents
.
Price: TZS. 2.9m
.
Location: Dsm
.
Call: 0717 650800

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…