INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

Mkuu qfl dodoma inch 10 kwa hio density ya 23 bei gani nikuungishe
320000 boss Tx zenye mkanda
FB_IMG_1628682131349.jpg
 
Godoro lipi bora? Wew km muuzaji mwnyw experience na magodoro

Natafuta godoro la kununua ila nipo njia panda mara ya mwisho nilitumia GSM halikunibariki
Pole ndugu Gsm yapo vizuri pia huenda ulipewa standard bila maelezo
Ulitaka inchi ngapi?
 
Hakuna punguzo hapo,lugha ya ulaghai tu.
 
Back
Top Bottom