Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
- Thread starter
- #61
Jinyonge mkuu kama huridhishwi na maisha ya sasa, hakikisha unawapa location yangu ili waje wanunue jeneza kwanguZamani ilikuwa hivi;
1. Huwez pata tangazo la kibiashara la vituo vya afya.
2. Huwez pata tangazo la kibiashara la dawa na vifaa tiba.
3. Huwez pata tangazo la kibiashara la wataalamu wa fani za udaktar na sheria.
Saiz hayo yote hapo juu ni kinyume. Ni vema kila fani ijaribu kuzingatia outstanding ethics, norms and customs.