Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

Jinyonge mkuu kama huridhishwi na maisha ya sasa, hakikisha unawapa location yangu ili waje wanunue jeneza kwangu
 
Unauza kwa bei ya jumla?
Mfano nikitaka jeneza 20 na sanda zake nitapata kwa bei ya jumla?
 
Picha mkuu.. Tangazo bila picha ni sawa na story za kusadikika


#Hilinalomkalitizame.
 
Mama ntilie hafi njaa, anakula hicho hicho cha wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…