Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Karibuni wateja wetu ,
Tunayo mashamba na viwanja maeneo yafuatayo ,

Kiteto tunayo mashamba kwa bei nafuu inaanza laki saba mpaka ml 1 na laki moja , hayapo mbali na mji huduma zote zakijamii zinapatikana. Zipo za kijijini ni laki 4 tu.
Pi kuna viwanja vipo arusha, boma kwa bei nafuu unalipia kwa awamu . Hotline 0699-22-79-42
Karibuni Wote .
 

Attachments

  • IMG-20231010-WA0010.jpg
    IMG-20231010-WA0010.jpg
    63.2 KB · Views: 3
Nyie ni Kambele, Mbise au Sangito?
Sisi ni group la madalali waliojikusanya kupigania haki ya mwananchi upate kiwanja /heka yako kihalali unalipia kwa awamu.

Kwa njia hii moja ukipenda kiwanja mahali iwe usa , boma au popote pale arusha , tunaenda kwa mwenye kitu unaandikishwa fomu halafu na barua inayoonyesha mmekubaliana unaanza kulipa nusu na ingine unamalizia kwa miezi au miaka mingapi unaenda kulipa hiyo nusu unaleta kopi kwa mwenye kiti na wewe umebaki na vielelezo vitatu barua kwa mwenye kiti ambayo inasign ya kila mtu , including you mashahidi, na muuzaji , . Hati inabaki kwa mwenye kiti na anaonyesha kila mtu kuwa yeye anayo ukimalizia basi unapewa kihalali na wale waliokuwepo mwanzo wanakuwepo mwishoni karibu uje uone
 
Viwanja vimepimwa? Vina hati miliki au nyaraka gani za uthibitisho wa umiliki wa eneo?
 
Mtu atoke Mbeya mpaka boma ndio apate majibu? Mna matatizo gani nyie madalli wa humu? Kwa nini msiweke taarifa zote hadharani
Unaniambia tu naomba unitumie bei za viwanja na heka mlivyo na vyo na mahali basi unatumiwa shida iko wapi tajiri
 
Back
Top Bottom